Johari akipozi na Ostaz
Juma Namusoma.
WATU bwana! Picha
zilizosambaa mitandaoni zikimuonesha staa wa sinema za Kibongo, Blandina
Chagula ‘Johari’ akiwa kwenye pozi tata na Ostaz Juma Namusoma zimetafsiriwa
kuwa zililenga kuwarusha roho wapendanao; Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans.
Johari akipozi na Ostaz
Juma Namusoma.
Hiyo imekuja baada
ya kuvuja habari za Ray kumpangia Chuchu nyumba ya gharama maeneo ya
Mwananyamala jijini Dar hivyo Johari ambaye inaaminika kuwa alikuwa mpenzi wa
Ray, aliamua kuziachia picha hizo zinazomuonesha akiwa na bosi huyo wa
Mtanashati Entertainment ili kumrusha roho Ray.
Ray.
Picha hizo
zilisindikizwa na maneno ambayo yalionesha dhahiri kuwa Ostaz ni mtu ambaye
amempa Johari msaada mkubwa maishani.“Huyu (Johari) ni mmoja wa wanawake ambao hatanisahau katika maisha yake, siri ninayo mimi, sijui ninyi mtafikiria nini?” aliandika Ostaz ndipo wachangiaji wakaanza kutiririka:
“Johari
Johari.
Paparazi wetu
alipounasa mchongo huo, alimvutia waya Johari kumuuliza
Chuchu na Ray katika
pozi.
Kabla ya penzi
No comments:
Post a Comment