Dec 15, 2013

CHOMBEZO LA MSWAHILI: DEMU WA KWENYE KIGODORO


 
MWANDISHI: ngoogle SK+255712 554 944
Email: ngogoshakur@yahoo.com

ILIPOISHIA SEHEMU YA KWANZA 01

Sauti ya chinichini toka kwa da Hanifa ilinihamasisha sana kuendelea na kamchezo kale tena kwa ustadi wa hali ya juu.
Ndipo ghafla nikabadili wazo kwa kuona kuwa pale tulikuwa nje ya chumba changu na chumba cha kwake hivyo nikambandua mwilini mwangu na kumkokota kuelekea chumbani kwangu……………

SOMA SASA SEHEMU YA 2
Nilimburuza taratibu tena kwa umakini wa hali ya juu hadi cumbani kwangu. Nilipofika naye nikamlaza kitandani. Mimi nilikimbilia mlangoni ili niweke sawa komeo la mlango ule. Lakini cha kushangaza baada ya kurejea pale nikamkuta Da Hanifa akiwa amebadili mkao tofauti na vile nilivyokuwa nimemuweka. Sasa hivi alikuwa amekaa kitako kitandani huku miguu yake pia ikiwa imejikunyata kitandani kwangu.

Nilijua wazi kuwa mabadiliko yale yangeambatana na hali ambayo ingekuwa na jibu has kwa upande wangu lakini sikujali nikamsogelea.

Nilipmfikia tu nishtushwa “paa!” lilikuwa ni kofi kali sana ambalo lilinishambulia katika uso wangu na kufanya nione nyota ingawa nilikuwa ndani ya chumba ambacho kilkuwa kiza na mwanga hafifu wa taa.

Sikutaka kuonesha kuwa nimekasirishwa sana na kipigo kile ambacho kama ungepata bahati ya kunishuhudia nikishushiwa ungeweza kusema kuwa kilikuwa ni kipigo cha paka mwizi. Nilijaribu kujivuta karibu na Da Hanifa na kuanza kujaribu kugusanisha mikono yangu na viganja vya mikono yake ambayo wa wakati huu ilikuwa imeshikamana pamoja katikati ya miguu yake ambayo nayo ilikuwa imekunjwa eneo alilokaa juu ya kitanda changu.

Kujisogeza kwangu kulisababisha nianze kusikia sauti ambayo kwa hakika ilianza kunistusha. Mwanzoni nilikuwa kama ninaigiza vile juu ya kile nilichokuwa nikikisikia lakini baada ya kuzidi kujisogeza ndipo nilipokuja kugundua kuwa kumbe ni kweli. Ni kweli kuwa Da Hanifa alkuwa akilia tena kwa sauti ya chini lakini kilikuwa ni kilio cha kwikwi hasa.

Mtoto wa kiume akili zilinienda mbio mithili ya jambazi ambalo limefika eneo la tukio na kukuta mbwa akiwa eneo lile akidumisha ulinzi na yeye anatakiwa ahakikishe anaondoka na mali zinazolindwa na mbwa yule. Basi bila kupoteza muda nikaanza kumuomba msamaha Da Hanifa kwa kujigeza eti kile nilichokuwa nataka kukifanya naye kilikuwa kimechangiwa na shetani tu. Nisamehe Da Hanifa unajua pepo mbaya tu yule alikuwa amenitembelea sista angu….nilijaribu kuigiza kama wasaniii wa Bongo muvi wanapokuwa katika scene za mapenzi. Ukweli ni kwamba kutoka moyoni mwangu sikuwa na hata chembe ya majuto juu ya tukio lile. Nilichokuwa nikitaka hasa ni kile kwakuwa ni yeye mwenyewe ndiye aliyeonesha ushirikiano kwangu.

Nilimbembeleza kwa muda na kujikuta nikiwa tumekumbatiana. Sauti ile ya kilio cha kwikwi ilikuwa imekatika sasa na nilistaajabu kuona mikono laini ya Da Hanifa ikijaribu kufanya patrol katika maeneo ya mzee wangu. Wakati huu mimi nilikuwa nimepiga magoti mbele ya kitanda naye akiwa amekaa kitandani mkwangu. Basi taratiibu nikaanza kuonesha ushirikiano kwa kumpapasa katikamgongo wake. Kitendo kile kilifanya nianze kusikia tena ile sauti laini niliyokuwa niisikia wakati tukiwa tunapeana uhondo pale nje.

Nikaona kuwa mambo yameanza kujipa. Niinua kinywa changu hadi usawa wa mdomo wa Da Hanifa, ile nafikisha tu usawa ule ilikuwa ni kama alikuwa akinisubiri nifanye hivyo kwani alinirukia na kuanza kuonesha utaalamu wake katika fani yak u***nya ndimi. Nilianza kuhisi joto la ajabu mwilini mwangu.
Taratibu nikamlaza chai Da Hanifa katika kitanda changu naye bila kipingamizi alikubaliana nami na kujiangusha kitandani pale.
Baada ya kuona kuwa mambo yamejipa kirahisi vile nilikwenda zangu kuzima taa ili nije kuifaidi raha za Da Hanifa……USIKOSE SEHEMU YA 3
TOA MAONI YAKO TUBORESHE

No comments:

Post a Comment