Dec 20, 2013

LAANA!!! PICHA ZA UTUPU ZA DENTI WA DAR AKIWA GESTI ZAMWAGIKAA MTANDAONI


 
Ewe Mswahili mwenzangu, huu ni muendelezo wa mpango maalumu wa JAHAZI LA MSWAHILI kujaribu kukemea matukio ya uvunjaji wa Mila na tamaduni zetu, Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na vitendo vichafu vya upigaji picha za nusu uchi au uchi kabisa kitu ambacho ni kinyume na Utamaduni wa Mswahili. Hali hii imezidi kushamiri kadri siku zinavyoyoyoma na kuwa tishio kwa Jamii.

Wakati  mwingine nikifikiria  huwa  naumia sana.Siku  zote najiuliza  ni kitu gani kimetufikisha hapa tulipo? Ni  tamaa, ulimbukeni au  ndo umaskini unatutesa?.

Najaribu kuangalia mbali  lakini sioni tumaini  lolote.  Naona tumetandwa na giza nene na hatujui nini cha kufanya.....
Nani alaumiwe? Askari ambaye pengine  anajukumu la kulinda sheria naye anapiga picha chafu.

Mzazi ambaye ni mlezi  anaamua kutembea na mwanafunzi,tena wa kidato cha pili........

Ndugu zangu, japo ni mambo ya kawaida kwa wengine, lakini ukweli ni kwamba hali  inatisha sasa. Hali ni mbaya jamani. 

Huyu   ni mwanafunzi ambaye ni nguvu kazi ya taifa. Hili  ni taifa gani tunaloliandaa?....

Una maoni  gani  msomaji wetu   ambayo pengine yatasaidia  kurejesha heshima yetu? WAZAZI MPO?!

KWA TUKIO LOLOTE LA AINA HII USISITE KUTUTUMIA

No comments:

Post a Comment