Kama
ulikuwa hujapata kujionea hebu nawe Soma na utazame picha hizi za tukio la
ajali ya ndege ya Ethiopia
ambayo nusura ya kuua watu 200.
Ndege kubwa
ya shirika la Ethiopian Airlines iliyokuwa na abiria 200 imelazimika kutua
ghafla kwenye uwanja wa ndege wa Arusha leo mchana muda wa saa saba na robo
mchana.
Ndege aina ya Boeing 767-383ER ya shirika la Ethiopian Airline ikiwa imetua kwa dharura kwenye uwanja wa ndege wa Arusha na kuingia pembezoni mwa njia ya kurukiaUtuaji huo ulikuwa wa hatari kwakuwa njia ya ndege ya uwanja huo ina urefu wa mita 1.620 ama futi 5.315, urefu ambao ni mdogo mno kwa ndege hiyo ya Boeing 767-383ER kutua.
Kuna taarifa kuwa ndege hiyo ilishindwa kutua KIA kwakuwa kulikuwa na ndege iliyokuwa imeziba njia na hivyo kuamua kwenda Arusha kwakuwa uwezakano wa kwenda kwenye uwanja wa ndege unaomudu ukubwa wake ulikuwa mkubwa kwakuwa ndege hiyo haikuwa na mafuta ya kutosha.
Uwanja wa ndege wa Arusha hauwezi kumudu ndege yenye ukubwa kama hiyo ya Ethiopian Airline kutua
Maswali mengi yameendelea kuulizwa sababu ya rubani wa ndege hiyo kutua ghafla kwenye uwanja huo
Ndege hiyo yenye namba ET-AQW ilikuwa inatokeaAddis Ababa kwenda Zanzibar kupitia
Kilimanjaro. Hakuna aliyeumia kwenye utuaji huo uliosababisha uwanja wa ndege
wa Arusha ufungwe kwa muda.
Ndege aina ya Boeing 767-383ER ya shirika la Ethiopian Airline ikiwa imetua kwa dharura kwenye uwanja wa ndege wa Arusha na kuingia pembezoni mwa njia ya kurukiaUtuaji huo ulikuwa wa hatari kwakuwa njia ya ndege ya uwanja huo ina urefu wa mita 1.620 ama futi 5.315, urefu ambao ni mdogo mno kwa ndege hiyo ya Boeing 767-383ER kutua.
Kuna taarifa kuwa ndege hiyo ilishindwa kutua KIA kwakuwa kulikuwa na ndege iliyokuwa imeziba njia na hivyo kuamua kwenda Arusha kwakuwa uwezakano wa kwenda kwenye uwanja wa ndege unaomudu ukubwa wake ulikuwa mkubwa kwakuwa ndege hiyo haikuwa na mafuta ya kutosha.
Uwanja wa ndege wa Arusha hauwezi kumudu ndege yenye ukubwa kama hiyo ya Ethiopian Airline kutua
Maswali mengi yameendelea kuulizwa sababu ya rubani wa ndege hiyo kutua ghafla kwenye uwanja huo
Ndege hiyo yenye namba ET-AQW ilikuwa inatokea
No comments:
Post a Comment