Dec 30, 2013

BINTI WA KITANZANIA AMREKODI MWENZIE AKI-DANCE UCHI. KAMFANYIA MBAYA?


 

Wasichana wa Kitanzania, kwa mujibu wa freebongo blog, na kutokana na Kiswahili chao na lafudhi yao, wakicheza kibao kata huku mwenzao akiwarekodi na video camera. Kuna uwezekano hawakujua kwamba mwenzao anawarekodi au itatoka hadharani sababu angalau mmoja wao, aliyekua akicheza akiwa uchi wa mnyama, anayeitwa “Aziza” kwenye video, anaonekana akicheza lakini baada ya kuona camera, akawa amestuka kidogo.
Mwenzake mwenye camera akamtoa hofu kwa kusema “aah siwezi kufanya hivyo;” kwa kinachoonekana kama kumaanisha hajaiwasha video camera na anafanya utani tu, au kwamba hatasambaza video hiyo. Nazungumzia hili ili tusiwe wepesi kuwahukumu wenzetu sababu wote kuna mambo ambayo huwa tunayafanya tukiwa na rafiki zetu wa karibu, au ndugu, au wapenzi wetu ambayo kambwe hatukupanga yatoke hadharani. Wewe unaonaje? Huyu binti alitaka kweli kurekodiwa na kusambazwa kama hivi au alifanya mzaha wa faragha na rafiki zake wa karibu lakini mwenzie amemfanyia mbaya? Toa maoni yako tafadhali hapa.

No comments:

Post a Comment