Dec 11, 2013

CHOMBEZO LA MSWAHILI: DEMU WA KWENYE KIGODORO


 

MWANDISHI: ngoogle SK+255712 554 944
Email: ngogoshakur@yahoo.com

SEHEMU YA KWANZA 01
I
likuwa ni saa mbili na nusu mara baada ya kumaliza kupata mlo wausiku ndipo bila kupoteza muda nikaingia ndani na kuupala kisawa sawa. Nilihakikisha naonekana mtanashati wakati ule ili kunirahisishia kazi yangu huko niendako. Zaidi ukizingatia lleo mechi ilikuwa ni karibu na uwanja wa nyumbani, ninasema hivi kwakuwa leo kigodoro kilikuwa nyumbani kwa msela wangu Benson.
Basi bila kuchelewa nifungua begi langu la kishamba sana nikatoa pensi yangu ya jeans ambayo mara zote nilipoitinga kila msela wangu wa kweli hakusita kunipa pongezi kuwa nimetokelezea kinyama. Nilitupia singlendi yangu ya Spider ili angalau kuweza kujiweka smart muda wote. Unajua joto la jiji la Dar es Salaam, kama hutakuwa makini unaweza kupoteza rodhiki zako kwa kutokwa mijasho isiyo na maana katika kigodoro. Mtotot wa kiume nilihakikisha kuwa siku ile mapema sana nakamata dagaa na kusinya taratibu tena bila majotro hasa ukizingatia msela wangu Benson alinihakikishia kuwa kulikuwa na dada zqake binamu waliotoka Arusha wamekuja nao katika sherehe ile ya kuolewa kwa dada yao mkubwa Lisa.

Nyumbani kwetu hapakuwa mbali sana na kwa akina Benson, hivyo nilijiara bila papara nikiamini kuwa mawindo yangu leo yapo katika pori ambalo ninalifahamu na haina haja ya kuwehuka na mzoga ambao najua ni lazima aliwe mtu tena mbichi bila hata kumbanika.
Nikiwa naendelea na kujipulizia mapouda motto wa uswahilini nilisikia kama naitwa vile…Sumaaa Sumaaa sauti toka nje niliisikia kwa mbali hasa ukizingatia wakati huu niliwesha kiredio changu cha betri mbili ambacho kilikuwa kinatumia memory card na kusikiiza wimbo wa Rich Mavoko ule wa Moyo wangu…wakati huu nilikuwa najaribu kukatika motto wa watu nikiigiza namna nitakavyowaficha watakaohudhuria katika sherehe ile ili iniwie rahisi kuopoa mtoto mkali kuliko wote ikiwezekana.

Sumaaa Sumaaa sauti ile iliendelea nami nikatoka nje kujua ni nani aliyekuwa ananiita vile. Nilipofika nje nilikkuana na Da Hanifa ambaye alikuwa naye usiku ule nusura nisimjue kwani alikuwa anameremeta utadhani Jini la Daraja la Sarenda …Balkis lakini waapi kumbe mtoto wa mzee Kimombo huyo wa Chamazi Magengeni. He vipi mwenzetu, ita yote wala hunisikii au kuna wifi ndani humo?? Aliuliza dada Hanifa wa kejeli. Aaaa wapi mdada we unadhani mi nitamtoa waapi mtoto wakati huu. Nilijaribu kujitetea huku moyoni nikiwa nimefurahishwa na kauli ya da Hanifa. Haya kama uko peke yako mi nakwenda zanu kuangalia Kigodoro hapo kwa rafiki yako nawe si unakuja au utabaki hapahapa ingawa sidhani….aliniuliza da Hanifa. Nakuja ndio naupara hivi ili nisije kukutia aibu dada angu maana nakuona umejikwatua kiukweli au kuna bonge la bwana unakwena kulinasa mdada angu? Maneno hayo yalionekana kumkuna sana da Hanifa kwa baada ya kumwambia vile alinirukia na kunikumbatia kasha nami sikuvunga nikamdaka tukawa kimya kwa muda. Harufu nzuri ya airfresh aliyojipulizia iliamsha hisia zingine kabisa na kujikuta nikianza kumminyaminya katika maeneo ya mbavu zake. Taratibu nilistushwana kitendo cha da Hanifa nae kumsikia akihema kwa sauti ya juu juu na kujikuta nikiongeza kasi ya kumtomasa katika maungo yake. Niliendelea na kumkagua sehemu mbalimbali za maungo yake na kujikuta nikimgeuzia upande wangu na kuwa tunatazamana uso kwa uso. Nilijaribu kusogeza kinywa changu karibu na chake bila ya kipingamizi naye akafanya vilevile na kujikuta tukianza kupeana ma…e. Sauti ya chinichini toka kwa da Hanifa ilinihamasisha sana kuendelea na kamchezo kale tena kwa ustadi wa hali ya juu.
Ndipo ghafla nikabadili wazo kwa kuona kuw apale tulikuwa nje ya chumba changu na chumba cha kwake hivyo nikambandua mwilini mwangu na kumkokota kuelekea chumbani kwangu…….
……………USIKOSE SEHEMU YA 2
TOA MAONI YAKO TUBORESHE

No comments:

Post a Comment