Dec 13, 2013

PICHA ZA UCHI NA “USUPA STAA BONGO” ZINAUHUSIANO GANI???


 
 nadhani mnawajua ni akina nani??
Mswahili mwenzangu, ebu tutafakati kwa kina juu ya tabia za Wanaoitwa Masupastaa wa Kibongo waliopata au wanaotamba katika sanaa za Kitanzania kuwa na tabia ya kupiga picha zinazoonesha maungo yao.

Hivi ni kweli kuwa unapokuwa STAA ni lazima kukaa kihasara hasara ndio ukonge nyoyo za Washabiki wako?

Ndio, wacha niulize hvyo kwa kuwa imekuwa ni kama fasheni vile yaani kila Msanii anayesemekana kuwa ni supastaa ukiingia katika mitandao utazikuta picha zake za uchi au za nusu uchi., KWA NINI?

Kama hamjajua mnajidhalilisha utu wenu washamba nyie!!!! USUPA STAA SIO KUVAA VIVAZI VYA KUONESHA MAUNGO YENU WALA KUKAA UCHI KILA SAA.

Kwani akili zenu zimekaa maeneo gani nyie????? HAMJAFIKIRIA KUWA MLITOKA KWENYE UANDAGRAUNDI mkiwa mnavaa vizuri na bila kukaa uchiiiiii????

TUMIENI AKILI ZENU KUFIKIRI NA SIO……Wanaowadanganya kuwa eti Mkikaa uchi ndio Mnatuvutia mashabiki mjue hawawatakii mema kuna siku Mtabakwa bureeeee muone Waswahili ni watu wasio na Uuungwana.

Au ndio fadhila za kukubalika kwa Jamii ndio Mnatufanyia hivi yaani Mnaharibu watoto na Jamii eti sababu kubwa tumewapokea vizuri kwa kazi zenu za Kuuunga unga sio???

HUO I ULIMBUKENIIIIII

tazama picha hizi chafu za nusu uchi au uchi kabisa za hao wanaoitwa
MASUPA STAA WA BONGO


No comments:

Post a Comment