Dec 20, 2013

MTAHINIWA SOMA HAPA: ZIJUE MADA HUSIKA KWA KIDATO CHAKO



KIDATO CHA PILI
*        UUNDAJI WA MANENO
*        MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA ANUWAI
*        UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI
*        UHIFADHI WA KAZI FASIHI SIMULIZI
*        UTUNGAJI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI
*        UANDISHI
*        USIMULIZI
*        UFAHAMU


KIDATO CHA NNE
*        KUONGEZA MSAMIATI
*        MAENDELEO YA KISWAHILI
*        UHAKIKI WA KAZIZA FASIHI ANDISHI
*        KUTUNGA KAZI ZA FASIHI
*        UANDISHI
*        UFAHAMU

NB: MFULULIZO WA MAFUNZO HAYA UTAKUWA UKITOLEWA KILA
JUMATATU NA IJUMAA AMBAPO;

JUMATATU-UFAFANUZI WA MADA
IJUMAA-MASWALI YA MADA HUSIKA

USIKOSEEEE!!!

No comments:

Post a Comment