Feb 17, 2014

SAFARI YA AZAM SHIRIKISHO YAFIKIA UKINGONI



TIMU ya Azam FC imeondolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 2-0 na Ferroviario de Beira ya Msumbuji. Kwa matokeo hayo, Azam imeondolewa kwa mabao 2-1 baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa Chamazi, Dar kushinda bao 1-0 .

No comments:

Post a Comment