NYAKACHAKA ameitia aibu familia yake pamoja na watanzania kwa ujumla kufuatia kufumwa akilazimisha penzi kwa babu wa kizungu mbae ni sawa na babu yake wa kuwazaa wazazi wake, na inasemekana amezaa nae watoto wawili kwa kulazimisha.
Xdeejayz
ambayo imenasa picha hiyo ambayo ilirushwa na msanii huyo akiwa na babu huyo
anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 62 na walionekana kupiga siku ya wapendano.
Hata
hivyo kwa mujibu wa watu wanamfahamu msanii huyo walisema kuwa amekuwa
akimrubuni babu huyo wa kizingu anaefanyakazi kwa mkataba kwenye kampuni moja
iliyopo Masaki Jijini Dar huku akijaribu kumpagawisha kwa kutoa penzi kinyume
na maumbile japo mzungu huyo achanganyikiwe na kuisahau familia yake iliyopo
ughaibuni lakini wapi.
Aidha
kwa mujibu wa mtu mmoja ambae anamfahamu dada huyo toka akiwa mcheza ngoma hadi
kuwa muigizaji amekiteka vilivyo kizee hicho ambacho hata wazazi wa muigizaji
huyo wadogo na humuamukia shikamoo hali inayowakosesha amani wazazi wake.
Aidha
tabia ya dada zetu kutembea na vibabu vya kizungu imeendelea kushamili kila
kukicha na hivi karibuni msanii Shilole ambae aliopoa mzungu mtaani na
kumtangaza kama mchumbaake kumbe baadae
taarifa zikavuja kumbe mzungu huyo ni bwabwa anahemewa kisongoni hali ilimpa
hasara msanii huyo.
Taarifa
zilizotua mezani kwa Xdeejayz zinasema kuwa msanii huyo licha ya kibabu hicho
kumpatia kila kitu lakini amekuwa akijihusisha kimapenzi na mwanamuziki mmoja
wa bolingo ambae ni raia wa Kongo jina linahifadhiwa lakini itakapobidi
ataanikwa hewani

No comments:
Post a Comment