Mswahili mwenzangu, hivi hawa
wasanii wetu wana shukrasni gain kwa washabiki wao ambao wamefanya wao
kuonekana kuwa watu bora sana
hapa Bongo????
Kila kukicha wamekuwa
wakijianika KIHASARAHASARA kana kwamba wadau wao (Mashabiki) ndio wamekuwa
wakifurahishwa na Utamaduni wao huo MCHAFU.
Umma wa Waswahili
(Watanzania) umekuwa ukilaani vikali tabia za namna hii kwa muda mrefu sasa
bila mafanikio.
TUNAWAOMBA Wasanii wetu
jamani hebu jaribuni kuwa Mano bora kwa Jamii kwa kuendeleza Mienendo ambayo
ndio Imewalea na sio kubadilika kihivi mnavyofanya…..MSIULIPE UMMA WA
WATANZANIA MAOVU YA KUUHARIBU KUTOKANA NA MCHANGO WAO KWENU.
Na: Domo la Mswahili.
No comments:
Post a Comment