Wakati tukiwa tunaelekea
kuumaliza mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014, ni jambo la kawaida
kufanya tathimini ya mwaka tunaoumaliza ili kujipanga kimikakati mipya kwa
mwaka mpya ujao.
Miongoni mwa wasanii wa
muziki wa kizazi kipya wanaopiga kazi katika industry hiyo hapa Bongo
inasemekana kuwa vijana hawa wafuatao (pichani hapa chini) ndio waliobarikiwa
na kuneemeka kupitia Muziki wao kwa kutengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kibongobongo.
Tazama picha zao hapa…
No comments:
Post a Comment