Takribani
miezi kadhaa iliyopita star wa filamu Diana Kimaro alikaririwa akisema kuwa
yeye ni bikira na hajawahi kulala na mwanaume yeyote kwani yupo busy na
shule....
Diana
aliyasema hayo katika kuweka wazi kuwa baadhi ya watu walikuwa wanamuona ni
mcharuko kutokana na baadhi ya filamu alizoigiza kama
mcharuko na kucheza vizuri hivyo wengine kudhani ni kweli. ...
No comments:
Post a Comment