Mswahili mwenzangu awali ya
yoote nilipongeze jeshi la polisi Nchini kwa haakati za wazi za kila kukicha za
kuhakikisha kuwa kambi za Makahaba zinatokomezwa Nchini. Ingawa kumeuwa na
ugumu katika kukamilisha zooezi hili lakini jeshi hili linatakiwa kuamini kuwa
harakati zake ni hatua hata kama ni hatua
ndogondogo ila kuna siku mafanikio yatafikiwa.
Katika misako hiyo jeshi hilo la polisi kwa
kushirikiana na askari mgambo wamekuwa wakivamia maeneo ambayo yamekuwa
yakifahamika kuwa ndio vituo vya WANAOJIUZA hao.
Picha hizi zinaonesha
harakati za Kutokomeza kambo mojawapo ya Machangudoa jijini Dar es Salaam huko
Sinza.
HONGERA JESHI LA POLISI,
Jamii tushirikiane na jeshi letu ili kuweza kuhakikisha kuwa siku moja Tanzania
inakuwa nchi yenye maadili bora duniani.
Na: Domo la Mswahili.
No comments:
Post a Comment