Dec 25, 2013

MUENDELEZO WA LAANA!!! UFUSKA NDANI YA GARI


Mswahii mwenzangu ni MAKUBWAA!!!
 
Katika hali inayoashiria kuwa vichwa vya wanadamu ndio vimevuurugwaa na sio dunia kama inavyodaiwa na watu wengi, hivi karibuni watu wawili ambao majina yao hayakupatikana haraka wamekutwa wakipeana ‘tunda’ ndani ya gari bila wasiwasi wowote.

Ewe Mswahili mwenzangfu hivi ni PEPO GANI HASA ALIYEIKUMBA HII NCHI YETU???? Au ni athari za Kuuvamia UTANDAWAZI?
Wakati wenzetu wananufaika na Utandawazi, kwetu sisi tunaangamia nao.
Domo la Mswahili.

No comments:

Post a Comment