Mswahili mwenzangu kama ulipata kusikia heri yako na kama ulikuwa uko kizani juu ya hili hebbu tega sikio;
Ndani ya jijini la Dar es salaam kuna baa ambayo wateja wake hasa wa kike wanapolewa hasaa na kuonekana kuzidiwa na kilevi basi WAHUDUMU WA KIUME HUWASHUGHULIKIA Kinamna mbalimbalia.
Kamera ilifanikiwa kumnasa kijana Emanuel Chambuso ambaye ni mteja wa baa hiyo akiwa anam...ya matiti mteja wa kike ambaye alionekana kuzidiwa na pombe. Kijana huyo inasemekana aliishia kufukuzwa kazi mara baaa ya bosi wake kung'amua hilo.
UNADHANI NI MARA YA KWANZA KWA KIJANA HUYO KUFANYA HIVYO?? JE YUKO PEKE YAKE KATIKA WAHUDUMU WA KIUME??
Domo la Mswahili


No comments:
Post a Comment