HATARI: MGANGA WA KIENYEJI AMTOA MANUNDU USONI MKEWE NA KUMVUNJA TAYA HUKO TABORA...WIVU WA MAPENZI WADAIWA KUWA CHANZO..!!
Bi.Joha Aman(38)mkazi wa kata
ya Isevya alipigwa na mumewe na kujeruhiwa vibaya ambapo amelazwa katika
hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete.Matukio ya ukatili wa kijinsia
mkoani Tabora bado yanaendelea kushika kasi siku hadi siku.
No comments:
Post a Comment