Sisi ni majirani tumetokea
kuzoeana tu kidogo kwakuwa mwenzangu yeye ni mwenyeji mimi nimemkuta tu
hapo nilivyo hamia, lakini naona kama kuna mazoea fulani ya ajabu, hii ni mara
ya tatu huyu dada ananiomba nimpige picha tena akiwa amevaa kiajabu ajabu, siku
nyingine anadiriki hata kunigongea chumbani kwangu ili nitoke tu nimpige picha
halafu aendelee na shughuli zake. sasa imekuwa kero Simuelewe kabisaaaa.
No comments:
Post a Comment