KIKOSI kazi cha Oparesheni
Fichua Maovu ‘OFM’ Kanda ya Ziwa, kinaendelea kufukua uchafu unaofanyika jijini
hapa, safari hii kimemnasa binti mwenye umri chini ya miaka 18 akifanya ukahaba
wikiendi iliyopita bila wasiwasi wowote.
HABARI KAMILI
Timu yetu ilishuhudia binti huyo akiwa amechanganyikana na mabinti wengine wakubwa wakijiuza kwa wateja wa baa mbalimbali katika eneo la Mabatini jijini hapa huku wakitumia gesti bubu iliyopo maeneo hayo.
Kwa siku tatu mfululizo, mapapazari wetu walimfuatilia na kujionea namna binti huyo mdogo akichukuliwa na mababa watu wazima na kwenda kula nao uroda kwa nyakati tofauti.
AINGIA
MTEGONI
Ili kupata ushahidi wa tukiohilo ,
makamanda wetu waliingia mzigoni na mmoja wao akajifanya mteja ambapo alimtokea
binti hiyo ambaye alikubali kwenda kulala naye kwa dau la shilingi 5,000.
Binti huyo aliyejitambulisha kwa jina la Anitha aliongozana na kamanda wetu hadi ndani ya gesti bubu inayotumika kwa uchafu huo bila kujua kwamba alikuwa ameingia ‘choo cha kiume’.
Ili kupata ushahidi wa tukio
Binti huyo aliyejitambulisha kwa jina la Anitha aliongozana na kamanda wetu hadi ndani ya gesti bubu inayotumika kwa uchafu huo bila kujua kwamba alikuwa ameingia ‘choo cha kiume’.
OFM
KAZINI
OFM wakiwa na wadau wengine waliokubali kushiriki katika zoezi hilo ambalo ni aibu kwa uongozi wa jiji hili na serikali kwa jumla, walikuwa tayaritayari jirani na gesti hiyo wakisubiri maelekezo kutoka kwa kamanda aliyeingia na changudoa huyo mtoto.
Vifaa vya mawasiliano vya OFM vilifanya kazi yake vyema ambapo kamanda aliyekuwa chumbani alitoa maelekezo kwa wenzake kuwa changudoa yule, alikuwa amesaula ndipo wakaingia na kufotoa picha za kutosha.
MSIKIE MWENYEWE
Alipogundua kuwa kumbe ulikuwa mtego wa kumnasa aliomba asamehewe kwa madai kwamba alilazimika kufanya vile kwa lengo la kujitafutia maisha kwa vile kwao hali ni mbaya.

“Jamani mimi ni mdogo, nina miaka 17, sina baba wala mama na hali ya
maisha ni ngumu ndiyo maana niliamua kuingia kwenye biashara hii,”
alisema Anitha.
Hata hivyo, uchunguzi wa Risasi Mchanganyiko, umeonyesha kuwa, Anitha ni muongo kwani ametoroka nyumbani kwao Mahina, Nyakato ambako alikuwa akiishi na wazazi wake na kukatisha masomo yake akiwa kidato cha pili.

No comments:
Post a Comment