Feb 14, 2014

VIBOPA NDO HABARI YA MUJINI NDANI YA MISS TANZANIA-SALHA


 

 

MISS Tanzania 2011, Salha Israel ametoboa siri kuhusiana na mapedeshee ambao wamekuwa wakiwapa usumbufu mkubwa kiasi cha kuonekana ni janga la kitaifa kwa warembo.
 


Miss Tanzania 2011, Salha Israel.
Akizungumza na Ijumaa kwenye mahojiano maalum hivi karibuni ndani ya ofisi za gazeti hili, Salha alikiri kuwepo kwa watu wenye nia mbaya wanaotumia utajiri wao kujipatia wasichana hali inayosababisha kuichafua Miss Tz.




“Kusema ukweli nilipokuwa kwenye shindano hili sikupata usumbufu sana ila baada ya kupata taji, usumbufu ukaanzia hapo.
 “Nikawa napigiwa simu na watu nisiowajua huku wengine wakitaka nionane nao, nimekuwa nikiwakwepa ila ni wasumbufu mno,” alisema Salha aliyekuwa ameongozana na wadogo zake Sabra na Sam
ier

No comments:

Post a Comment