Feb 13, 2014
SPESHO KWA MABINTI LIMBUKENI WA MAPENZI
Kumekuwa na tabia za mabinti wanaochhipukia katika uwanja wa huba "KUJIRAHISISHA" kwa mabwana wao kwa kukubali kupigwa picha za utupu ambazo kwa mtazamo wao wa kishamba wenyewe hudhani ndio kuonesha kuwa wame "fall in Love"
NINATAKA NIWAAMBIE KITU, HUU NI USHAMBA NA UJINGA WA HALI YA JUU KWANI ni wangapi kati ya hao walioridhia kupigwa picha wameona mwanamume naye akipigwa picha hizo????
Kama kweli kuppigana picha za utupu ndio mapenzi basi kwanini na mwanamume asipigwe ukapigwa wewe tu????
JITAMBUENI KWAMBA MNA THAMANI NA KAMA THAMANI YAKO HUIJUI AU UNADHANI KUTHAMINIWA KWAKO NI HADI PALE UTAKAPOWEKWA KATIKA MEMORY CARD BASI WEWE NI MJINGA AMBAYE HUJUI MWENZAKO KILA AENDAKO ANAKUANIKA UKIWA MTUPU........USHETANI MKUWA ACHENI TABIA CHAFUU HIZIIIII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment