Feb 13, 2014

MAKUBWA HAYA!!! MUME WA MTU NI SUMU



Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena.
Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzese.
Blog hii ilinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na  eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde,
Shuhudia picha hapo chini

KUTOKANA NA MAADILI HIZI PICHA NI ZA AIBU SANA KUANGALIA PICHA SHARITI UWE NA UMRI UNAOZIDI MIAKA (+18)
PICHA YA 1
 PICHA YA 2

PICHA YA 3

No comments:

Post a Comment