Inasikitisha saaana kuona dunia inazidi kuangamia kuelekea katika Machafuko, Kikubwa ni Mataifa ya DUNIA YA KWANZA yakiwa yananufaika kupitia majnaga haya kwa DUNIA YA TATU.
Ewe MTANZANIA, KUWA MAKINI NA SIASA ZA KIMIZUKA AMBAZO ZINALAZIMISHA KUMWAGA DAMU NCHI YETU IKIFIKA HUKO NI NGUMU KUIRUDISHA KATIKA HALI HII DUNI
"MAISHA MABAYA YENYE AMANI NI BORA KULIKO MAISHA MAZURI KWENYE VITA"
No comments:
Post a Comment