Mswahili mwenzangu nadhani
hujapitwa na matukio yaliyoyumbisha nvchi
wiki mbili tatu zilizopita ambayo yalipelekea Baraza la Mawaziri
kutikisika kutokana na mawaziri wake kutakiwa kujitafakari. Tikisiko hili
lilipelekea Mawaziri katika wizara nyeti kadhaaa kuachia ngazi…..
Kama ulikuwa hujawahi kuona
au kusikia kilichopelekea tukio hilo hebu tembelea saiti hii….
http://www.gumzolajiji.com/2013/12/video-ya-kilichojiri-katika-operesheni.html
No comments:
Post a Comment