ELIZABETH Michael ‘Lulu’
amefunguka kuwa mazoezi ni miongoni mwa vitu vinavyomfanya atulie na
kutofikiria mambo yasiyofaa katika jamii.Mwigizaji huyo ambaye kipindi cha
nyuma alikuwa na rekodi ya kurukaruka viwanja, kwa sasa amebadilika ambapo
mbali na mambo mengine, Lulu amesema mazoezi yamemsaidia sana kujituliza.
“Kama unavyoona, sasa hivi Lulu siyo yule wa
foolish age, nimetulia, nafanya mambo yangu kwa ustadi mkubwa maana Mungu
amenionesha,” alisema Lulu.




No comments:
Post a Comment