Dec 22, 2013

SIFA ZA KIJINGA; AVUA NGUO AKIFURAHIA ‘BIRTHDAY’


Mswahili mwenzangu bado tunaendelea na mapambano dhidi ya wale wachafuzi wa Mila na Desturi za Mswahili.
 


Katika hali isiyo ya kawaida mwanadada mmoja amekutwa na kamera za wana harakati Mitaani akifurahia sherehe ya kuzaliwa alimaarufu bethidei’ katika kiwango cha kupitiliza mara baada ya kuamua kuonesha wazi makalio yake hadharani kana kwamba ni MWEHU au KICHAA.

Hivi kwanini dada zetu kila kukicha nyie tu?? Msitake tuamini vibaya juu yenu jaribuni kujirekebisha jamani.
Na: Domo la Mswahili.

No comments:

Post a Comment