Picha
inajieleza yenyewe
tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.
Hivi ndio huwa mambo
yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa
jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya
Binadamu, kijana
Tuungane kwa pamoja kupinga
biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa
pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.Hii
ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba.
Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.
Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.
Operation ikifanyika tayari
kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.Operation ikiendelea
hatari sana
ndugu zangu.Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.
uonavyo yakiwa ndani ya
utumbo mpana.Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika
picha.Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.
Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari .
Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari .











No comments:
Post a Comment