Dec 13, 2013

PATI YA UCHI YAFANYIKA UGANDA


 KUMRADHI KWA PICHA HIZI CHAFU

Mswahili mwenzangu wahenga wetu walinena kuwa “Ukistaajabu ya ……utayaona ya Firauni” Ni kweli kabisa bila shaka yoyote juu ya usemi huu nami leo nina la kunena nawe Mswahili mwenzangu.

Wakati sisi (Waswahili wa Bongo) tukiendelea kulaani vikali matukio yanayoashiria ama kuvunja moja kwa moja Utamaduni na ustaarabu wa Mswahili, kwa wenzetu huko Uganda mambo nako si shwari kwani sherehe lililokutanisa watu wakiwa uchi limechukua nafasi yake eti likikonga nyoyo za watu.

Ama kwa hakika Mswahili mwenzangu hii ni laana, hii ni9  ishara tosha kuwa dunia imefikia nyakati zake za mwisho ni waaaaaazi na kwa ishara hizi TUNAPASWA KUJIANDAA KWA KUCHUKUA HATUA

Picha za matukio hayo hizi Jioneeeeee

No comments:

Post a Comment