Mswahili mwenzangu leo katika
zile zilizowahi
kubamba tunaiangazia hii hapa ambayo inaeleza kuwa Mwanadada mkali
wa muziki wa kizazi kipya Nchini Marekani anayekwenda kwa jina la Kelly Rowland
ameoonekana maeneo ya Manzese na vitongoji vyake kama
vile Uwanja wa fisi.
Unaweza kutoamini lakini hii
ni kweli kama inavyoonekana katika picha hapa
chini. Mwanadada huyo hakuwa kama weengi wenu
mlivyokuwa mkidhani kuwa labd aamekwenda maeneo hayo baada ya kupigika lah
hasha! Mdada wa watu alikuwa akikatiza mitaa hiyo katika harakati zake za
kikazi kwani inasemekana yeye ni mmoja wa wana kampeni ya kupambana na ugonjwa
wa UKIMWI hivyo alikuwa katika shughuli rasmi za kikazi…….
No comments:
Post a Comment