Dec 29, 2013

NAJUTA KUBADILI JINSIA KUWA WA KIKE...VUNJA MBAVU NA KITUKO HIKI CHA MTAA

Kijana mmoja amempa ujauzito mtoto wa jirani yake ambaye alishawahi kukanywa na wazazi wa mtoto huyo kuwa AJIWEKE mmbali na mtoto wao ila jamaa akawa anakomaa hadi kumkuta hilo la kumpa mimba.

Baada ya kutokea hilo wazazi wa msichana wakafika nuymbani kwa wazazi wa jamaa lengo kutaka muafaka...Ila jamaa kwa kuwa alikuwa akijifanya mjanja aliruka hatua mia nane kujifanya kuwa SI YEYE aliyempa mimba mtoto wao.

Wazazi wale kwakuwa walikuwa na usahidi wakaona waende hatua moja mbele yaani kwenye vyokmbo vya dola!!! Mambo yakawa mooooto zaidi

Siku ya mahakamani ilifika lakini kijana alishafanya uchakachuzi ili kesi aikwepe kama nia yake ilivyomtuma. Kwli alifika palle kizimbani na alipoelezwa juu ya suala la kumpa uja uzito binti yule kijana alishusha mistari hiii....
"Jamani ki nashangaa saaana jinsi mnavyonidhalilisha bureeee!!! Yan kil;a nikiwaeleza hamunielewe tu mwenzenu mie ni jinsia ya kike sasa nitampaje mimba binti yenu???
Watu hawakuamini kauli yake nawalipomfuata ili kujionea ukweli .,...Kijana alikuwa amejibadili jinsia kimiujiza na kweeeli alionekana wa kike sasa sikia kituko....

KWELI kijana alishinda kesi ile kwa kuwa via vya uzazi vilimuonesha kuwa wa kike lakini sasaaaaaaa!!!!

Alipotoka pale na kurudi nyumbani wakati anakaribia home alikuta kundi kubwa la watu wakiwa wamejaa nyumbani kwao huku wengi pia wakiwa wanalia.....unajua kulikoni????

KUMBE!!! Bibi ambaye ndiye aliyemtengeneza kijana kuwa na muonekano wa kike alikuwa AMEFARIKI DUNIAAAAAAA.....

Ingekuwa wewe ndio kijana yule ungefanyaJEEEEE??????

Tupe maoni yako hapa chini ni muhimu sana
PIA kama una Kichekesho cha namna niyngine tutumie
0712 554 944 au kwa e mail: ngogoshakur@yahoo.com

No comments:

Post a Comment