Nasibu Abdul
‘Diamond’.
STAA kiwango katika tasnia ya
filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekanusha uvumi uliozagaa
mitaani
kuhusu kutoka kimapenzi na mbabe wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.Imekuwepo minong’ono ya muda
mrefu kitaani kuwa, Diamond analilia penzi la Lulu lakini Diamond au Sukari ya
Warembo alipoulizwa kuhusu hilo ,
alisema siyo kwamba analilia tu bali waliwahi kutoka (haijulikani kwenda wapi)
naye, madai yaliyotupiliwa mbali na Lulu.
MADAI YA AWALI
Habari zilizotua katika meza ya Risasi Mchanganyiko zinasema kwamba, wawili hao wanafanya kazi za kisanii pamoja (haikuwekwa wazi ni kazi gani kati ya filamu au muziki) lakini tatizo lililopo katiyao
ni Diamond kumtaka Lulu.
Chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, kilifunguka: “Diamond anashindwa kuelewa, tatizo yeye kila mwanamke anataka kutoka naye. Mwenzake anajua yupo kazini, yeye anataka penzi, ndiyo mzozo uliopo katiyao .”
MADAI YA AWALI
Habari zilizotua katika meza ya Risasi Mchanganyiko zinasema kwamba, wawili hao wanafanya kazi za kisanii pamoja (haikuwekwa wazi ni kazi gani kati ya filamu au muziki) lakini tatizo lililopo kati
Chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, kilifunguka: “Diamond anashindwa kuelewa, tatizo yeye kila mwanamke anataka kutoka naye. Mwenzake anajua yupo kazini, yeye anataka penzi, ndiyo mzozo uliopo kati
Wema Sepetu.
KAZI
KWA DIAMOND
Paparazi wetu alimvutia waya Diamond ili kutaka kupata ufafanuzi kwa upande wake, ambapo aliposomewa maelezo yote alichekasana kisha akasema: “Nililie penzi la Lulu?
Acheni hizo... ngoja nikuambie kitu, siyo kulilia, mimi nimeshawahi kutoka
naye. Nilitembea naye kishkaji tu kisha kila mmoja akaendelea na yake.
“Hayo mambo yalishapita na sikutaka kuyaongelea lakini kwa sababu naonakama yanakuzwa, ndiyo maana nimeamua kuweka wazi. Kwa
sasa tunaheshimiana kama kaka na dada. Kuna
ugumu gani mimi kuwa naye wakati nimeshampitia?”
Risasi: Unasema kweli Diamond?
Diamond: Wa asilimia mia moja.
Paparazi wetu alimvutia waya Diamond ili kutaka kupata ufafanuzi kwa upande wake, ambapo aliposomewa maelezo yote alicheka
“Hayo mambo yalishapita na sikutaka kuyaongelea lakini kwa sababu naona
Risasi: Unasema kweli Diamond?
Diamond: Wa asilimia mia moja.
Penny.
Risasi: Una ushahidi gani?
Diamond: Watu wanaojua hii ishu ni wawili tu; Wema (Sepetu) na Penny (Penniel Mungilwa). Niliwaeleza kwa uwazi kabisa hawa ili tusielewane vibaya.Kama huamini waulize. Hawa
ndiyo niliowapa siri hii.
Paparazi wetu alijaribu kuwatafuta Penny na Wema kupitia simu zao za mkononi lakini hawakupokea.
TURUDI KWA LULU SASA
Akizungumza kwa sauti ya kujiamini, Lulu alimshangaa Diamond na kusema kwamba, si kutoka naye tu bali hana hata kazi anayofanya naye pamoja.
“Nawashangaasana eti mimi nifanye kazi na Diamond, kazi
gani sasa wakati mimi na yeye tupo kwenye fani tofauti? Muziki na filamu
wapi na wapi? Kifupi hayo madai hayana ukweli wowote na kila mtu yupo na yake,”
alisema Lulu na kuongeza:
Diamond: Watu wanaojua hii ishu ni wawili tu; Wema (Sepetu) na Penny (Penniel Mungilwa). Niliwaeleza kwa uwazi kabisa hawa ili tusielewane vibaya.
Paparazi wetu alijaribu kuwatafuta Penny na Wema kupitia simu zao za mkononi lakini hawakupokea.
TURUDI KWA LULU SASA
Akizungumza kwa sauti ya kujiamini, Lulu alimshangaa Diamond na kusema kwamba, si kutoka naye tu bali hana hata kazi anayofanya naye pamoja.
“Nawashangaa
Lulu.
“Kwanza mimi siwezi kutoka na
Diamond... levo zetu ni tofauti kabisa, wala hazilingani. Mimi nilianza kutoka
kabla yake, nimeanza kujulikana toka kitambo hicho nina miaka mitano sijui hata
kujifuta kamasi vizuri.... hakuna ukweli wowote.”
TUJIKUMBUSHE
Diamond amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na mastaa mbalimbali, huku madai hayo yeye mwenyewe akiyakubali, jambo lililosababisha aitwe Sukari ya Warembo.
Mbali na orodha ndefu aliyotoka nayo Diamond, kinachovuta hisia za wengi ni uhusiano wake wa sasa, ambapo haijulikanakama
yupo na Penny, Wema au wote kwa wakati mmoja!
TUJIKUMBUSHE
Diamond amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na mastaa mbalimbali, huku madai hayo yeye mwenyewe akiyakubali, jambo lililosababisha aitwe Sukari ya Warembo.
Mbali na orodha ndefu aliyotoka nayo Diamond, kinachovuta hisia za wengi ni uhusiano wake wa sasa, ambapo haijulikana



No comments:
Post a Comment