Meneja wa klabu ya Manchester
United, David Moyes, amesema klabu hiyo ni miongoni mwa vilabu vitano bora
zaidi vinavyoweza kushinda kombe la klabu bingwa Ulaya lakini kinahitaji
kujiboresha ikiwa kinataka kutimiza ndoto hiyo.
Klabu hiyo ambayo imeshinda kombe Man U wako juu kwenye orodha ya timu katika kundi A baada ya kuilaza Shakhtar Donetsk bao moja bila.
"nadhani tunaweza kushinda kombe hili,'' alisema Moyes.
"itatubidi kuimarisha mchezo wetu ili tuweze kuwa katika nafasi nzuri ya kushinda.Klabu kama
Moyes ambaye alichukua nafasi ya Sir Alex Ferguson msimu uliopita, alisema "lazima tucheze vyema wakati ,michuano hii ikiendelea.''
"ushindani ni mkali, lakini tutakwenda hatua kwa hatua.''
Phil Jones ndiye aliingiza bao la pekee dhidi ya Shakhtar wakati United iliepuka kuhindwa kwa mara ya tatu nyumbani kitu ambacho hakijawahi kufanyika tangu mwaka 1962. ''

No comments:
Post a Comment