Tukio hili limetokea hapa mkoani
Iringa asubuhi ya leo katika eneo la samora karibu na mashine ya kukamua mafuta
ya alizeti kichanga kimekutwa kimekufa baada ya kutupwa.Shuhuda wa tukio hilo
ni mwenye nyumba ambaye alikua anafanya usafi wa mazingira na kukuta kanga
ikiwa imevilingisha huyo mtoto anae kadiliwa kua na miezi 8.Maiti hiyo ya
kichanga ikaondoka na polisi.mpaka sasa muhusika hajapatikana.
Na. LEWIS MBONDE BLOG,
IRINGA
HALI HII INATISHA NDUGU ZANGU


No comments:
Post a Comment