Dec 17, 2013

DIMPOZ ALAMBA SHAVU USA


 

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetamba na ngoma yake inayokwenda kwa jina la TUPOGO, Ommy Dimpoz ataikumbuka siku hii hapa [pichani] ambapo akiwa Ughaibuni huko USA, shabiki wake alipata kumualika na kumuandalia menyu kama uonavyo katika picha hii……HONGERA Bro hayo ndio MARUPURUPU YA USANII BONGO

 

No comments:

Post a Comment