Bunge la Uganda Ijumaa
lilipitisha mswada ambao utafanya baadhi ya vitendo vya ngono kati ya watu wa
jinsia moja kupewa adhabu ya kifungo cha maisha jela.Mswada huo awali
ulishtumiwa na makundi ya kutetea haki pamoja na serikali za Magharibi
ikiwemo Marekani kwa sababu ulijumuisha adhabu ya kifo.Mswada uliopitishwa Ijumaa
unatoa adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa yeyote atakayehukumiwa kwa kile
ilichosema ni "vitendo vilivyopita mipaka" vya
ngono kati ya watu wa jinsia moja.
Waziri Mkuu Amama Mbabazi alikaririwa akisema kuwa serikali yaUganda itafanya
mashauriano zaidi kuhusu mswada huo ambao unahitaji kutiwa saini na Rais Yoweri
Museveni kabla ya kuwa sheria kamili nchini humo....
Waziri Mkuu Amama Mbabazi alikaririwa akisema kuwa serikali ya
Source Gumzo la JIJI
No comments:
Post a Comment