Waungwana
naomba mnijuze faida ya kuvaa mlegezo,kutoboa sikio,na kujichubua rangi ya
ngozi kwa mwanaume. Kiukweli hiyo hali inanikera sana ninapomuona kijana wa kiume anafanya
vitu hivi lakini inawezekana ni ushamba wangu tu labda kuna faida fulani huwa
wanapata .je unazijua faida zake au hasara zake au unamchukuliaje kijana wa
kiume anayefanya hivyo.
Credit:
Udaku Special
No comments:
Post a Comment