SIJUI KWANINI PAMOJA NA HARAKATI ZA AKINA MAMA WENYE FIKRA TIMAMU KUJARIBU KUUDHIHIRISHIA UMMA WA WALIMWENGU KUWA MWANAMKE WA KITANZANIA ANAWEZA KUJISIMAMIA NA KUFANYA MAMBOO YAKE HALI IMEZIDI KUWA TATA PALE AMBAPO WADADA WENGI WAMEKUWA HAYAWAHUSU HAYO???? KILA KUKICHA KUMEKUWA NA ONGEZEKO LA WIMBI LA AKINA DADA KUJIPIGA PICHA ZA UTUPU KISHA KUZIANIKA MITANDAONI ILI WAJULIKANE HEEEE!!!! NDIO KUWEZA HUKU EEEE????
TAZAMA PICHA ZA LIMBUKENI HUYU MWINGINEEEEE
No comments:
Post a Comment