AJALI mbaya
aliyoipata msanii wa filamu, Tito Zimbwe hivi karibuni ilikuwa imfanye apoteze
maisha yake kutokana na namna ilivyotokea. Akizungumza na
Ijumaa, rafiki wa karibu wa msanii huyo aliyeomba hifadhi ya jina lakealisema,
ajali aliyoipita Tito kupona kwake ilikuwa ni Mungu tu kwani waliomuokoa
walisema ameponea kwenye tundu la sindano. “Aisee ilikuwa ni
ajali mbaya sana,
ilikuwa mida ya saa tano usiku, alikuwa akitokea Kigogo kwenda Kinondoni
akiendesha pikipiki, alipofika maeneo ya Shule ya Msingi Lutihinda akakutana na
tuta ambalo lilimfanya apate ajali, ni Mungu tu kwa kweli.”
Baada ya ajali hiyo Tito alipata…

Baada ya ajali
hiyo Tito alipata majeraja sehemu mbalimbali za mwili na alipelekwa kwenye
Hospitali ya Dokta Mvungi
No comments:
Post a Comment