Zuwena Yusuf Mohamed ‘Shilole.
MAMA wa majanga,
Snura Antony Mushi kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani na kuzungumzia
kauli ya msanii mwenzake wa muziki wa mduara, Zuwena Yusuf Mohamed
‘Shilole’ juu yake kuwa ameisha kimuziki ndiyo maana ameamua kukimbilia muziki
wa Taarab.Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Snura ambaye anawika mitaani kwa ngoma kali
“Sina tatizo na maneno ya Shilole, hiyo ni ishara kuwa anafuatilia na kuzikubali

No comments:
Post a Comment