Shilole akiwa na mzazi mwenzake Elias Makala.
Tukio Pozi
“Mh! Kweli mtalaka hatongozwi, hebu ona Shilole alivyorembua alipomuona jamaa yake, pale Makala kumchukua ni
Shilole akiwa na mzazi mwenzake klabu.
Baada ya paparazi
wetu ‘kuusoma mchezo’ huo, aliamua kumuuliza staa huyo “Hahahahaa! Kwa kweli unanichekesha kuniuliza
Licha ya kufafanua hivyo, usiku wa siku hiyo, Shilole alipokuwa jukwaani akipagawisha mashabiki kwa shoo kali, alimpandisha jukwaani mzazi mwenziye huyo hali iliyozua mtafaruku mkubwa kwa mpenzi wa sasa wa Makala aliyefahamika kwa jina la Maguno.
Baada ya shoo kuisha, Maguno aliyekuwa na jazba kwa mpenzi wake kupandishwa jukwaani, alimsaka Shilole kwa udi na uvumba kutaka kumtembezea kichapo lakini bahati haikuwa yake, hakuweza kumpata hadi msanii huyo aliporejea jijini Dar siku iliyofuata.
Baada
ya shoo kuisha, Maguno aliyekuwa na jazba kwa mpenzi wake kupandishwa jukwaani,
alimsaka Shilole kwa udi na uvumba kutaka kumtembezea kichapo lakini bahati
haikuwa yake, hakuweza kumpata hadi msanii huyo aliporejea jijini Dar siku
iliyofuata.
No comments:
Post a Comment