Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Kauli hiyo imechochea
vigezo vya kumfanya Shilole aonekane hasikii kwani wiki kadhaa zilizopita
mchungaji wa kanisa moja lililopo Ubungo, jijini Dar ambaye hakujulikana jina
lake, alimtaka kuishi katika sura ya kumpendeza Mungu lakini inaonekana
amempuuza.Akizungumza na Risasi Mchanganyiko juzi, jijini
“Unajua mwanamuziki unatakiwa kuchagua wimbo ambao unaigusa jamii nzima kwani mambo ya kuchuna mabuzi kwa wanawake yapo
Hata hivyo alisema japokuwa ana tabia hiyo lakini anatambua siyo nzuri hivyo anawasihi wanawake wengine kuachana nayo kwani ipo siku itawaingiza matatizoni.
Mbali na mchungaji huyo, juzi Jumapili, Mchungaji wa Kanisa la Anglikana, Ukonga –Mazizini, Dar, Emmanuel Kapande alimtumia ujumbe wa watoto wa Shule ya Jumapili (Sunday School) nyumbani kwake kwa lengo la kuimba na kufanya maombi.
Watoto hao walifika nyumbani kwa Shilole, Mwananyamala - Manjunju, wakiwa wameongozana na walimu wao, Jonas Timotheo, Rehema Ezra na Catherine Libogoma.
Ujumbe huo, ulimpelekea baraka ya maombi nyumbani kwake na kumshauri aishi katika mazingira yanayompendeza Mungu.
Katika hafla hiyo, vinywaji baridi vilichukua nafasi yake huku Shilole akipata nafasi ya kuzungumza na watoto hao kisha kupiga nao picha.


No comments:
Post a Comment