Wafanyabiashara
jijini Mwanza na mkoani Morogoro nao wamefunga maduka leo ikiwa ni muendelezo
wa kupinga matumizi ya Mashine za Elektroniki za Kutolea Risiti (EFD). Tayari,
wafanyabiashara miji ya Iringa, Songea na Mara wametoa msimamo wa kugomea
matumizi ya mashine hizo na kuazimia kufunga biashara zao kama
njia ya kupinga matumizi yake. Jijini Dar wafanyabiashara wa maduka ya Kariakoo
bado wameendelea na mgomo huo ulioanza jana.


No comments:
Post a Comment