MGOMO WA DALADALA MWANZA, RAIA WAAMUA KUTUMIA MALORI NA BAISKELI KUSAFIRI-SERIKALI IKO WAPI????
Madereva wa daladala jijini Mwanza
leo wameamua kugoma kutoa huduma hiyo
muhimu kwa jamii wakiishinikiza serikali
kupandisha nauli na kupunguza faini pindi
wanapokamatwa na askari wa usalama barabarani….
Baada ya
mgomo huo kuanza, abiria
walimua kutumia Malori, baiskeli, Toyo Kilimo na
pikipiki kama njia mbadala ya kusafiria.
No comments:
Post a Comment