Ni aibu iliyoje? Mwanadada ambaye amejitambulisha kuwa ni msomi wa chuo kikuu (jina lipo) ambaye pia ni mwanakwaya chuoni hapo aliyejitaja kwa jina moja la Rei ameaibika baada ya kunaswa usiku mnene akijiuza.
Mwanakwaya,msomi
wa chuo kikuu (katikati), aliyejitaja kwa jina moja la Rei.
Rei alikamatwa
katika msako wa polisi katikati ya Jiji la Dar (Mrembo huyo ambaye Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilimshuhudia, kabla ya kupelekwa kituo kikuu cha polisi, Wilaya ya Ilala (Central), alijitetea kuwa yeye ni denti wa chuo kikuu hivyo kitendo cha kupigwa picha alijua kabisa kuwa zitasambaa mitandaoni hivyo itakuwa ni aibu kubwa.
Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers
wakichukua picha.
“Kaka naomba
usinitoe gazetini au mitandaoni, haya ni maisha tu, itakuwa aibu kwa wanachuo
wenzangu,” alijitetea.Mbali na hayo, mrembo huyo wa haja alikuwa akihaha kuwa
Pia Rei alijitetea kuwa huwa hajiuzi kila siku na hiyo ilitokea tu kwa bahati mbaya kwani ana biashara zake binafsi.
Alipoulizwa na ‘kachero’ wetu juu ya kanisa au kwaya anayoitumikia alikataa kutaja kwa madai kuwa atalichafua kanisa.
“Wewe ujue tu mimi ni mwanakwaya, hayo mambo ya kwaya na kanisa sitaki kulichafua jina la Mungu,” alisema.
Mwanakwaya,msomi wa chuo kikuu (katikati).
Kwa mujibu wa
polisi wa doria waliowanasa warembo hao walidai kuwa Jumatano iliyopita
watafikishwa katika Mahakama ya Jiji la Dar (




No comments:
Post a Comment