Huu ni ujumbe
wa Zitto Kabwe kujibu mapigo ya Tundu Lissu
Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini.

Tundu Lissu

No comments:
Post a Comment