Jan 16, 2014

UNAMZUNGUMZIAJE MRITHI WA KIATU CHA B 12,ADAM MCHOMVU NA DIVA NDANI YA KIPINDI CHA XXL?


 
Raymond Mshana (25), mzaliwa wa Same, Kilimanjaro.
HIVI karibuni, watangazaji nyota waliojizolea umaarufu mkubwa Bongo kupitia Redio Clouds FM, wakitangaza kipindi cha XXL, Hamisi Mandi ‘B12’ na Adam Mchomvu ‘Baba John’  walisimamishwa kazi kituoni hapo kwa muda usiojulikana.
Inaelezwa kuwa, hata yule mtangazaji mwenye sauti yenye mvuto wa aina yake Fatuma Hassan ‘Dj Fetty’ naye yupo kifungoni muda mrefu kabla ya akina B12 ingawa taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi.

No comments:

Post a Comment