MUIGIZAJI wa kike aliyetamba katika Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Cecilia
Sospeter ‘Mamtei’ ametoa kali ya aina yake baada ya kusema hawajui wasanii
kutoka Bongo Movie, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper.
Muigizaji
huyo aliyejifungua mtoto wake wa pili wiki kadhaa zilizopita, aliyasema hayo
juzikati alipokuwa akihojiwa na paparazi wetu nyumbani kwake Kinondoni, jijini
Dar na alipogusiwa kuhusu uwezo wa Wolper na Wema, alitiririka:
No comments:
Post a Comment