Kikosi Kazi cha Kupambana na Dawa za Kulevya, Uwanja wa Ndege wa Dar es Salam (JNIA) jana kilimkamata mwanamke mmoja, Salama Omari Muzara akiwa amemeza kete za dawa za kulevya aina ya Heroin ambazo idadi yake kamili haijajulikana.
Kamishna wa Polisi Kitengo cha Kupambana na Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa alisema, msichana huyo alikamatwa jana saa saba mchana akiwa njiani kuelekea
“Alikuwa anasafiri kwenda
Nzowa alisema, mwanamke huyo alikuwa na hati ya kusafiria namba AB548242 ambayo ilitolewa Oktoba mwaka jana na haikufahamika idadi kamili ya pipi alizomeza kwani mpaka sasa bado anazitoa. Nzowa alisema mpaka sasa mwanamke huyo tayari ameshatoa pipi kadhaa tangu alipokamatwa jana mchana ambapo kuanzia asubuhi leo hadi saa saba mchana huu ameshatoa pipi 27.
Kamishna Nzowa alisema hiyo ni sehemu tu ya mapambano ya dawa za kulevya nchini ambayo imesaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa wasafirishaji na watumiaji wa dawa hizo.
Hivi karibuni, Mwanamitindo wa
Mwanamitindo huyo , aliyekuwa akisafiri kutoka
Kamanda Nzowa alisema kikosi chake kinaendelea kuwasiliana na Polisi wa
No comments:
Post a Comment