Unategemea kusikia collabo ya
Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama
una ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwasababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo kwa
collabo hiyo ni sawa na kudeki bahari, haiwezekani.
Diamond na Ali Kiba ni paka
na panya na kamwe mafahari hawa wawili hawawezi kukaa kwenye zizi moja.
No comments:
Post a Comment