INASIKITISHA
Tukiohilo la
kufungia mwaka lilijiri nje ya Hospitali Teule ya Ifisi-Mbalizi hivi karibuni
na kusababisha masikitiko makubwa kwa mashuhuda waliodai kuwa ishu hiyo ni kali
ya kufungia mwaka 2013.
Akizungumzia tukiohilo
muda mfupi baada ya kujifungua, Sabina alisema alifika hospitalini hapo Desemba
18, mwaka huu na alipimwa na manesi ambapo walimwambia kuwa hawamuoni mtoto
tumboni mwake.
“Baadaye alikuja daktari na kunipima, akaniambia mtoto anaonekana vizuri na ningejifungua mtoto wa kike ndipo nikaendelea kusubiri uchungu zaidi,’’ alisema kwa masikitiko.
Tukio
Akizungumzia tukio
“Baadaye alikuja daktari na kunipima, akaniambia mtoto anaonekana vizuri na ningejifungua mtoto wa kike ndipo nikaendelea kusubiri uchungu zaidi,’’ alisema kwa masikitiko.
UCHUNGU
Alisema ulipofika usiku wa Desemba 19, mwaka huu, alianza kujisikia uchungu, ndipo manesi waliompima mwanzo wakamwambia anatakiwa apimwe tena, jambo ambalo alikataa kwa madai kuwa alikuwa akiumia.
Alidai alipokataa kupimwa ndipo wakamwambia aondoke hospitalini hapo kwa sababu ana kiburi.

KUMBUKUMBU MBAYA
Mama mzazi wa mwanamke huyo, Roda Mwakyusa (50), alisema anaumia akikumbuka yaliyomkuta mwanaye ikiwa ni uzao wake wa kwanza.

Alidai walipotoka wodini huku
mwanaye uchungu ukimzidi, walifika getini akazidiwa na kuanza kujifungua ndipo
walinzi wa kampuni ya Mult-Lion, wakamsaidia kumpeleka katika upenu wa duka la
hospitali hiyo ili kukwepa kokoto zilizopo na mvua iliyokuwa ikinyesha.
Mkurugenzi wa kampuni hiyo ya ulinzi, Kinanda Sanga, alipoulizwa kuhusu tukiohilo , alikiri kwamba
lilitokea na wao wakatoa msaada.
Naye wifi wa Sabina, Prisca Nafred, alisema alimpeleka mtoto aliyezaliwa katika hospitali hiyo saa 7:00 mchana wa Desemba 20, kwa ajili ya chanjo, lakini hakupata chanjo kwa madai kuwa alikuwa amechelewa kufika.
Desemba 21, familia hiyo ilimpigia simu mwandishi wetu na kumueleza kuhusu maendeleo mabaya ya mtoto ambapo mwanahabari wetu alitoa taarifa kwa Mratibu wa Afya ya Mama na Mtoto, Mkoa wa Mbeya, Prisca Butuyuyu ambapo makubaliano yalifikiwa kuwa mtoto apelekwe Hospitali ya Rufaa, Kitengo cha Wazazi Meta.
Mkurugenzi wa kampuni hiyo ya ulinzi, Kinanda Sanga, alipoulizwa kuhusu tukio
Naye wifi wa Sabina, Prisca Nafred, alisema alimpeleka mtoto aliyezaliwa katika hospitali hiyo saa 7:00 mchana wa Desemba 20, kwa ajili ya chanjo, lakini hakupata chanjo kwa madai kuwa alikuwa amechelewa kufika.
Desemba 21, familia hiyo ilimpigia simu mwandishi wetu na kumueleza kuhusu maendeleo mabaya ya mtoto ambapo mwanahabari wetu alitoa taarifa kwa Mratibu wa Afya ya Mama na Mtoto, Mkoa wa Mbeya, Prisca Butuyuyu ambapo makubaliano yalifikiwa kuwa mtoto apelekwe Hospitali ya Rufaa, Kitengo cha Wazazi Meta.
MTOTO ANAENDELEAJE?
Mtoto huyo alipokelewaMeta na kuingizwa
kwenye chumba cha joto kisha kuanza kupatiwa matibabu kwa kuwekewa dripu za
maji hadi Desemba 23, mwaka huu hali yake ilipotengemaa na sasa anaendelea
vizuri.
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Louis Chomboko, alipopata taarifa, alichukua hatua ya kwenda kumuona mtoto huyo Meta na kuahidi kulifuatilia sualahilo .
Mtoto huyo alipokelewa
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Louis Chomboko, alipopata taarifa, alichukua hatua ya kwenda kumuona mtoto huyo Meta na kuahidi kulifuatilia suala
KIKAO
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ifisi Mbalizi, Msafiri Kimaro, Desemba 23, mwaka huu, alipopata taarifa hizo, aliitisha kikao cha wauguzi wanne waliokuwepo siku ya tukio, muuguzi mkuu, muuguzi kitengo cha chanjo.
Alisema wanawake zaidi ya 300 wanajifungulia hapo lakini tukio kamahilo hakumbuki kuwahi
kutokea.
Credit: GPL
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ifisi Mbalizi, Msafiri Kimaro, Desemba 23, mwaka huu, alipopata taarifa hizo, aliitisha kikao cha wauguzi wanne waliokuwepo siku ya tukio, muuguzi mkuu, muuguzi kitengo cha chanjo.
Alisema wanawake zaidi ya 300 wanajifungulia hapo lakini tukio kama
Credit: GPL
No comments:
Post a Comment